Thursday, 21 May 2015

AUNTY EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE


The information spreading in the town and proved by Diamond platinum founder of Wasafi classic where by Mose iyobo working!! see whats diamond posted on his social networks

Naye Aunty asema haya: 
Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena Ahsante kwa zawadi hii kubwa ktk Maisha kwani ilikuwa ni kipindi kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia binaadamu .