Some Weeks Ago Juma Jux aliweka
Picha ikionyesha kipande cha nyumba yake , picha hiyo ilitafsiriwa vibaya na
baadhi ya mashabiki wake na wengine kusema anajenga gala...Sasa leo
amepost ikiwa inaonekana vizuri na kusema haya
Major plans for my humble abode -
home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good!
Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property
#Blessings #AfricanBoy