Kweli dunia imekwisha,hivi
madhara ya mwanamke kujichua ni yapi? Sasa kunahaja ya kufahamu madhara na
kuyaweka hadharani kwani sasa imekuwa kero kusikia hili jambo la wadada na
mambo yao.
Tunasema wavulana ndiyo
wanaongoza kwa upigaji kumbe wadada nao wamo sema hawavumi, sasa aibu hii ya
huyu dada sijui ataimalizaje.Sisi tupo kwa ajiri ya kumuasa aachane na tabia
hii ila kama atazidi kufanya basi tutazitupia kwenye chanzo chetu kila mtu
ajiaonee.