Katika mahojiana na clouds
FM Msanii wa Bongo fleva Diamond Platinumz alisema anatarajia kufunga
ndoa ya kihistoria na mpenzi wake "Zari"mapema mwaka huu.
STAA wa Bongo Fleva
nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete
ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike
mwaka huu.