Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au
kulazimishwa bali ni our choice Kufanya ng0no kusiko a.k.a “MWIKO” katika
jamii nyingiulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara
makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya
imani zetu za Dini.
Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili
mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na
mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda
na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila
siku….lakini mambo hayo ni “tab0o” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au
Ukware/uziNz!
Kuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha
wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua
“unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo
wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na
kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke
mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha
wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.
Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la
ng0no na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu
unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe
ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.
Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “n*atural*” na
hujisikii vema kushiriki ng0no Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.
-Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko
mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa
ajili ya shughuli hiyo.
-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu
lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza
kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya
waarabu).
-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka,
basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali
unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako
ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia
wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au
kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia
na kuyatenda.
MADHARA MAKUU NI:
Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa
wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati
akijaribu kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha
kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na
misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of col0n’.
Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa
sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama
kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara
makubwa.
hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi
kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za
watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Paparaziwetu inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote
swala la Ng0no kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio
mweye mwili na unafanya vile utakavyo.
Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako
lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo
akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke,
pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea
na kusababisha ambane mtoto.