Saturday, 23 May 2015
Update News: Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015.
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.
kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo:
TANGAZO KWA UMMA 23 MEI 2015
Orodha ya Walimu wa Cheti Awamu ya Pili Waliopangiwa Ajira Mpya - 23 Mei 2015
Orodha ya Walimu wa Cheti Waliobadilishiwa Vituo - 23 Mei 2015
Orodha ya Walimu wa Sayansi (Shahada/Stashahada) Awamu ya Pili Waliopangiwa Ajira Mpya - 23 Mei 2015
Orodha ya Walimu wa Sayansi(Shahada/Stashahada) Waliobadilishiwa Vituo - 23 Mei 2015
Orodha ya Walimu wa Sanaa(Shahada/Stashahada) Awamu ya Pili Waliopangiwa Vituo Vipya - 23 Mei 2015
Orodha ya Walimu wa Sanaa(Shahada/Stashahada) Waliobadilishwa Vituo - 23 Mei 2015
Newer Post
Older Post
Home