Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana
Machi 13, 2015 na Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, mjini Sharm El-Sheikh,
Misri.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) akiwa na baadhi ya viongozi kutoka mataifa mbalimbali wakati akiwa
katika mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana Machi 13,
2015 na Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, mjini Sharm El-Sheikh, Misri.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Wawekezaji
wa Misri wanaotaka kuwekeza katika Sekta ya Viwanja Wilayani Mkuranga, wakati
alipokutana nao kwa mazungumzo leo, Machi 14, 2015 mjini Sharm El- Sheikh,
Misri, alikohudhuria mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa
jana Machi 13, 2015 na Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, mjini Sharm
El-Sheikh, Misri
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Rais wa Misri, Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, wakati walipokutana kwa
mazungumzo baada ya mkutano huo, uliofanyika jana Machi 13, 2015 mjini Sharm
El-Sheikh, Misri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni wake Wawekezaji wa
Misri wanaoataka kuwekeza katika Sekta ya Viwanda Wilayani Mkuranga, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika leo Machi 14, 2015 mjini Sharm El- Sheikh, Misri
alikohudhuria mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana
Machi 13, 2015 na Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, mjini Sharm El-Sheikh,
Misri. Picha na OMR