Aslay azawadia gari katika Birthday yake na Said Fela
Asante mungu Kwa kunipa
uhai Na kipaji ambacho leo hii kina fanya naitwa Aslay pia nakushukuru kwa
kunifikisha kwenye mikono Ya mtu mwenye moyo wa kibinaadamu. Najua kuna mengi
makubwa ambayo boss wangu @mkubwafella umenifanyia ambayo si vyema kuyataja yote
kwasababu wakati wake haujafikia ila naomba nichukue fulsa hii kukushukuru kwa hiki ulichonifanyia leo katika sherehe Ya kusherehekea siku
yangu Ya kuzaliwa umenifanya nijione mwenye thamani kubwa duniani sikutegemea
kama leo itakuwa siku yangu ya kumbukumbu ambayo sitoweza kuisahau hata
Nije kuwa bilionea @mkubwafella asante kwa kunipa hii zawadi ambayo mimi kama
mimi sikuiwazia kabisa kama Leo nitapata gari Na ninaushukuru uwongozi mziki Wa
#mkubwanawanawe pamoja na manager wangu @chambusso boss wangu @babutale
@mhtemba na mama yangu @sweatfella bila kuwasahau wasanii wenzangu wa
@yamoto_band mungu ndie atakaewalipa ... Nawatakia usiku mwema woote na Watu wa
Dodoma Tukutane kesho pale Matei