Saturday, 23 May 2015

SAUTI: KADHIA YA UAMSHO YATUA BUNGENI.

Suala la viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu kushikiliwa, kuteswa, kufunguliwa mashitaka ya ugaidi na kudhalilishwa kwenye magereza Tanzania Bara limeibuka bungeni siku ya Alhamisi ya tarehe 21 Mei 2015 kwa kasi kubwa na ya ajabu.