Saturday, 23 May 2015

SAUTI: MHE. PAUL MAKONDA AFUNGUKA KUHUSU WIMBO AUPENDAO WA BONGO FLEVA.

Mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Paul Makondo amefunguka juu ya wimbo anaoupenda katika muziki wa bongo fleva. Amesema hayo wakati akiongea na kipindi cha Bongo [dot] Home kupitiza Times Fm.

Msikilize alichokisema hapo chini..