Saturday, 23 May 2015

TUKIO LA WIKI…MGOMO WA WALEMAVU DAR.

Juzi siku ya Alhamis nyakati za saa 4 asubuhi Umati wa Walemavu walifunga makutano ya barabara katika mataa ya Ilala na kusababisha magari utokupita...Walemavu hao walidai vibanda vyao vya kufanyia biashara vimevunjwa na jiji usiku na kuchukua baadhi ya bidhaa zao ...

Madai yao makuu ni kwa serikali kwamba haiwajali, Bora iwaue tu kuliko kuachwa wakiishi kwa tabu huku vibanda vyao vilivyopo sokoni Karume vikibomolewa, lakini hatimae muafaka ulipatikana na kuamua kuondoka

Sikiliza hapa habari kamili…