Thursday, 7 May 2015
Aslay amuanika wazi mpenzi wake mpya
Ni mara chache mtu maarufu kama Aslay kuonyesha mwanamke anayempenda wakiwa kwenye mazingira ya kimapenzi zaidi. Mrembi huyu anayefahamika kwa jina la Tessy ameonekana na Aslay kwenye picha tofauti.
Newer Post
Older Post
Home