ARGENTINA YATINGA ROBO FAINALI COPA AMERICA KWA KUICHAPA JAMAICA 1-0
Argentina imetinga hatua ya robo fainali ya michuano ya
Copa America baada ya kuitungua Jamaica 1-0. Kwa ushindi huo, Argentina
imeongoza kundi B Kwa kujikusanyia jumla ya pointi saba ikiwa ni faida ya
ushindi wa mechi mbili na sare moja. Bao pekee la Argentina limefungwa na
Gonzalo Higuain kunako dakika ya 11