Tuesday, 26 May 2015

SHAMSA FORD AJIANIKA MAUMBILE YAKE HADHARANI.

Bongo movie malkia Shamsaford A.K.A binamu wa Ney Wa Mitego ameanika maungo yake hadharani kuwatega vidume wenye tamaa na kuwaka vilimi wadada wote wanaoponda umbile lake la thamani.

Mbongo movie huyo anayetamba na filamu ya chausiku hajaona noma kuleta timbwili hilo mtandaoni.

Tetesi za chini ya kapeti Ney wa Mitego ndie mmiliki wa le mbebez huyo.Mapenzi pesa na sio kupetipeti kufwaaa.