Msanii wa Rnb na Filamu
Tanzania Hemedy Phd anafanya maamuzi mengine magumu kwenye maisha yake baada ya
kufunguka kuwa anampango wa kutoboa pua upande mmoja.
“Baada ya kumaliza project za watu nilizonazo nitatoboa pua upande wa kulia, ni
muonekano ninaotaka sasa, siwezi kufanya muda huu sababu ya kazi za watu,
Kutoboa pua sio jambo baya kama limekubalika mbele hata hapa nyumbani
litawezekana ”