Habari zilizosambaa leo mitandaoni moja wapo ni hii ya Diamond
Kumzuia Zari Ambae ni mama Kijacho wake kwenda kujifungulia Sauz
Afrika...Inasemekana Diamond Anataka ajifungulia hapa hapa Bongo Muda utakapo
fika ili iwe rahisi familia nzima kufurahi nae badala ya kusafiri mpaka Sauz.
Tayari Diamond Ameshamuanzishia Zari Clinic ya Hapa Bongo kwenye
Hospitali ijulikanayo kama AMI iliyoko Masaki