Mwanamuziki Diamond Platnumz Amejikuta katika wakati
mgumu Baada ya Tatizo la Mguu lilikuwa likimsumbua kwa miaka miwili kufikia
hatua mpaka kufanyiwa upasuaji kuokoa mguu wake usikatwe..Diamond alipelekwa
Hospitali ya TMJ baada ya maumivu kuzidi na baada ya kufanyiwa uchunguzi
aligundulika na Ugongwa unaitwa FOOT CORN ama Kisahani kwenye Goti.
Ambapo Daktari alisema ni Ugonjwa mbaya sana ambao usipotibiwa haraka hulazika mgonjwa kukatwa Mguu..Diamond amefanyiwa upasuaji na kuondoa Tatizo hilo katika Mguu wake ..