Bingwa wa masumbwi Floyd
Mayweather katika moja ya mahojiano yake anaeleza kuwa hawezi kuchangia
chochote Afrika kwa sababu Afrika haina mchango wowote kwenye mafanikio yake.
Mayweather akaenda mbali zaidi na kusema yeye hana asili ya Afrika lakini sio
Mwafrika na wala hana mpango kuishi Afrika.