kweli kwamba
uko kwenye mapenzi mazito na Mose Iyobo ambaye ni dancer waDiamond Platnumz?
Waandishi wengi walikua wanauliza hili swali kwa Aunty na jibu lake lilikua linaishia kuwa moja tu >>> ‘hata mimi mwenyewe hizo
habari nazisikia kama mnavyozisikia nyie, ila baba wa huu ujauzito namjua
mwenyewe‘. Sasa angalia alichokisema Diamond Platnumz.