Serikali imeendelea kupiga marufuku matumizi ya bangi
nchini kutokana na madhara mbalimbali kama vile inamfanya mtu achanganyike na
awe kichaa…
Akijibu swali la Mh Letisia aliyetaka kujua ni nini
msimamo wa serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzana kuhusu bangi kutumia kama dawa, kwa
kuwa serikali ya District of columbia nchin Marekani imehalalisha matumizi ya
bangi kama dawa.
Akijibu kwa niaba ya waziri wa afya na ustawi wa jamii, naibu waziri wa habari, vijana, utamaduni
na michezo Mh Nkemia amesema haya..
Mh spika kwa niaba ya waziri wa afya na ustawi wa jamii, naomba kuijibu swali la Mh letisia Magen Nyerey Mbunge wa vitu maalam kama ifuatavyo ..
“Mh spika bangi ni mmea wenye rangi ya kijani ambao hutoa majani na maua mabayo hutumika kama kilevi, matumizi ya bangi husabbaisha madhara mbalimbali ikiwa ni pamoja na na kuchangwnaj, ukatili, ukorofi, ufahamu usio wa kawaida, uhalifu, kupoteza kumbukumbu na kusababish tegemezi na usug kwa mtumiaji, hata ivo baadhi ya sehemu mbalimbali dunian hutumia bangi kama chakula au dawa DC ni jimbo la tatu kupitisha sheria ya matumiz ya bangi kama dawa kwa wagonjwa wenye maumivu makali pamoja na sugu pamoja na kuliwaza watuwalioumia kwenye ajali yaani kuwa lugha nyengine ni ‘post-metric stress disorder’ sheria hiyo ilianza kwenye jimbo la Colorado na laska ambao yalishapitisha sheria izo kwa matumizi ya kipimo ksichozidi 56g kwa mtumiaji ambaye ana umri kati ya miaka 21 na kuendelea, halikadhalika mtumiai hapasi kuvuta mbele ya kadamnasi, kuuza wala kusafirisha na akifanya ivo ni kosa la jina na hatua za kisheria zinachukuliwa zidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi hizo.
Mh spika msimamo wa seriakli ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, inafuata sheria mbayo inaeleza kwa kuwa mtu yeyote atakaye jihusisha na kutumia, kuhamaisha matumiza, kuuza, kusafirsha, kuhifadhi au kujihusisha kwa namna yoyote ile na bangi ni kosa la jinai, adhabu kwa makosa hayo hufikia hadi kifungo cha maisha jela, napenda kushauri na kusisitiza kuwa bangi ni miongoni mwa dawa za kulevya ambazo tusizizalishe wala kuzisambaza kwa sababu madhara yake ni makubwa kwa afya ya binaadam.
Sikiliza hapa alichokisema spika wa Bunge akiitetea
Bangi...