Msani wa Hiphop kutoka mji kasoro bahari (Stamina) anayetamba na ngoma yake mpya Like father like son aliyomshirikisha mkali wa Hiphop Tanzania kutoka Mwanza Fid Q amesema muziki wa hiphop sio fassion ila ni passion kauli hiyo ameitoa kutokana na kuwa wasanii wengi wa hiphop wamekuwa ni wa kuhama hama mara hipohop, mara taarabu, mara kiduku,hawa ni wavamizi wa hiphop.
Stamini amefunguka hayo
wakati akihojiwa na kipindi cha powerjams cha east africa radio.
Hiki ndicho alichokisema
stamina…….
Uvamizi kwenye suala la hiphop ni Yule mtu ambaye anaingia kwenye hiphop akiwa na fassion na sio passion, marehemu 2pac aliwahi kusema hiphop is all about passion and not fassion, kwamba hiphop sio mziki wa fassio leo unaweza ukapiga kiduku, kesho ukapiga mchiriku, kesho kutwa ukapiga taarabu kesho kutwa ukapiga Nigeria that’s fassion lakin hiphop ni mziki wa passion kutokana unafanya kitu mabacho kimo ndani ya moyo wako kitu ambacho wewe mwenyewe unakipenda huwezi ukabadilishwa kutokana na soko kwa io kwenye upande wetu yeyote yule ambaye alivamia soko letu na akashindwa akasepa akaanza kufanya vitu vengine huyo ni mvamizi wa fan, kwasabu focus yake ilikuwa tu ni kupata hela, unajua ndo vile ndo problem watu hawaja jua hiphop nini, hii ni meseji ambayo inatakiwa zaidi iedne kwa societ kwa io hii haitaji yaani sisi unajua focus yetu kubwa sana ndo mana hata ulaya kuna wasani , kuna watu kama kina Common ao ni malegendary wa hiphop kule, lakini huwezi kumkuta sijua yuko kwenye ni..ni..ni..ni.. lakini mpaka leo anazidi kutoa mangoma ni kwasababu gani anachokifanya anapenda hata kama hakimpi manaufaa lakini yeye cha msingi anafikisha ujembe kwa watu and that’s hiphop lakin hawa watu wanaokuja kwa fassion leo hii, kapiga goma la kuchana keshokuta mara kakatika kiuno mara yupo ivi hao ndo wavamizi………….Msikilizi zaidi hapo chini…