Kama mjuavyo hakuna tunzo inayo kosa mikasa na maneno na hii uonesha
jinsi tunzo zinavyo wagusa wengi!
Na Tunzo iliyokuwa ina wagusa wengi ni tunzo ya msanii wa kiume anaye pendwa na wengi ambayo imekwenda kwa msanii Alikiba!
Baada ya utoaji wa tunzo huo wengi wamesema na kunena lakini leo hii kuna kitu kipya kimezuka ambacho kinaweza kuwa kivutio kwa wengi na wengi watatamani kujua kilicho nyuma ya haya yote!
Mh Lemutuz au Sauti ya Umeme amesema wazi kabisa kwenye Tunzo za watu haki haikutendeka kabisa na hakuna msanii anayependwa Tanzania zaidi ya Diamond!
LEMUTUZ AMEANDIKA HAYA KUHUSU TUZO HIZO:
Well, thank "Tuzo za Watu" for the best Show but I have a big problem kuamini kwamba1. Millardayo hakupata zawadi zote isipokuwa ya Blogu tu 2. Ali Kiba ameshinda Tuzo ya Mwanamuziki anayependwa against The King Of Pop in East Africa 3. Mzee Majuto kashindwa kupata hata zawadi moja.....nilichokiona ni Manouver and Manipulation by somebody very powerful behind the scene anayetaka ku create a balance katika Field ambayo ni unbalanced by Nature and TALENT in the end ni kuvuruga competititon ambayo tayari ipo na kuwakatisha tamaa waliofanikiwa kwa VIPAJI VYAO...the Idea inatakuwa kuwa ni kupiganisha Vipaji uwanjani sio ku balance the Field from somebody's Office....mapokezi ya Diamond leo Mwanza na LONDON WIKI ILIYOPITA ni EVIDENCE ya kutosha kwamba HAKUTENDEWA HAKI NA TUZO ZA.LEO.....ninawaheshimu sana watayarishaji wa Show ya leo lakini NAOMBA KUKUBALI KUTOKUBALIANA NANYI na we remain kool SIAMINI KWAMBA MATOKEO YA LEO YALIKUWA FAIR na nitashukuru sana kuona process iliyotumika kufikia matokeo ya leo!
...UPDATE: well nimesoma arguments nyingi against my prior post kuna wachache sana wanaojaribu ku make a sense lakini at the end of the heart of all the TRUTH STANDS alone kwamba kulikuwa na unfairness I mean eti KING MAJUTO ana mpinzani Tanzania? Please eti Millardayo ana mpinzani Tanzania? Diamond Platznumz ana mpinzani Tanzania? hahahahahahah that is a joke infact the biggest joke of my life...I mean wananchi wanajaa kwenye Show za Diamond kuliko za Wasanii wote Tanzania lakini hawakumpigia kura? hahahahha ninasema that is.the biggest joke of all the times Diamond ana followers wengi Instagram na FACEBOOK kuliko MTANZANIA YOYOTE ALIYEWAHI KUISHI.
HAPA NCHINI lakini hawakumpigia kura? hahahahahha kuna
mtu hukoooo anataka niamini that! hahahahah wanannchi wamekubali kununua meza
kwa Shillingi Millioni Tatu kumuona Diamond lakini hawakumpigia kura? Ipi ni
kazi ngumu kupiga kura kwenye simu au kulipia meza Shillingi Millioni
Tatu?......I mean hata aliyetaja washindi alikuwa anatetemeka kutaja kushindwa
kwa Diamond WHY? hahahahaha baada ya Category ya Diamond kupita ilikuwa ni
rahisi kutabiri the rest of the TUZOS kila mtu alijua mapema kuwa Millard
ameshinda blog WHY?....KIPAJI kinatakiwa kushindanishwa na KIPAJI sio
otherwise....sina muda wa kujibu low arguments za Yanga na Simba eti
mtumzima.na akili zako.
unaweza kusimama na kusema Mwanamuziki anayependwa
Tanzania sio Diamond eti kuna mwingine! hahahahahahahha namshukuru Mungu kwa
kunijalia kwenda Shule niliyoyaona leo ni aibu tupu na ndio mwanzo wa kuua
vipaji soon tutaanza tena kuwarudia kina Kandabongo Man ambaye huko kwao
huwa.anapiga bure kwenye harusi...sio kosa la Diamond kwamba amewaacha wasanii
wenzie maili 20 ni kosa la KIPAJI CHAKE kipaji hakitengenezwi na TUZO ila
kukubalika na wnanchi ninasema DIAMOND NDIYE MWANAMUZIKI ANAYEKUBALIKA.
KULIKO
WOTE TANZANIA NI FACTS NA MIFANO IPO WAZI ni maoni yangu kama huyakubali andika
FACTS sio ushabiki wa Yanga na Simba! - le Mutuz