Msanii wa bongo fleva Kassim mganga “Tajiri wa Mahaba” kutoka Tanga anyaetamba na hitsong
yake ya ‘subira’ kwa sasa amefunguka kuhusu wimbo kati ya nyimbo zake zote
ambayo ameshawahi kupitia katika maisha yake halisi kabisa.
Akizungumza na kipindi cha
‘The Playlist’ kinachorushwa kupitia mawimbi ya 100.5 fm (Times Fm), kassim
amesema haya..
“Mhhhh, eeeehhh, niliwahi
kuandikaga awena, miaka ya nyuma awena, ni..ni.. ni wimbo amabo ulikuwa unanigusa
na hata jina lenyewe lilikuwa ni halisi kabisa la mlengwa pia, yaani niliikuta
tu naandika wacha niandike, ila yaani ilikwa hivyo, awena peke yake.
Msikilize mwenye akifunguka
hayo…