MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada
ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na
wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata mara moja,” alisema Aunty Lulu
credit: Global Publishers