Saturday, 18 April 2015

WEMA SEPETU: 'Ninammiss sana Diamond, sema IQ yake ndogo'


Wema anaojiwa sasa hivi na Gardner G Habash, anasema ni namna gani anammiss Diamond.

"Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana".
Anaendelea... "Sometimes uwa naweka nyimbo zake kwenye gari langu sababu pamoja na yaliyo tokea mi ni shabiki na nimefall sana kwake... Najua kuna watu wataichukulia vibaya kwamba oooh oooh amemmiss amemmiss ila mimi nimeamua kuwa honest. Kuna kipindi inanitokea tu nammiss sana unajua kuna vitu tulishea na yale mazoea kwa kweli nammiss ata yeye najua ananimiss ila anajifanya tu.

Nilishawai kumtext lakini hakunijibu, lakini namjua mwenzangu mkishakaa mbali ana zile kupoteza moja kwa moja, unajua mimi sio mswahili na haya mambo kila mtu na IQ yake mimi ata tukiachana tutabaki marafiki ila mwingine unakuta tatizo sijui malezi au IQ sijui.

Source : EFM na Gardner & Bikirawakisukuma