Amiri Jeshi
Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za
doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi
ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam Jana April 28, 2015
PICHA NA IKULU