Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akiwasha Mwenge wa
Uhuru Kitaifa katika uwanja wa Majimaji mjini Songea Mkoani Ruvuma mapema wiki
hii. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella
Mukangara na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na
WatotoZanzibar, Zainab Mohammed.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwenge wa
Uhuru Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa Juma Khatib Chum baada ya
kuuwasha leo katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea
wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa
mkoani Ruvuma.
PICHA/IKULU ZANZIBAR