Wednesday, 29 April 2015

Lotus Kyamba wa Nirvana ni mama kijacho wa Roma

LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?