Monday, 16 March 2015

Update News:MOJA YA JENGO LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR LASHIKA MOTO


 Taarifa zlizotufikia hivi punde ni kuwa moto mkubwa umezuka katika Jengo B lililopo ndani ya Mabibo Hostel zinazomilikiwa na kuendeshwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


Shuhuda aliyekuwa eneo la tukio ametujuza kuwa Askari wa Zimamoto wamechelewa kufika na athari zilishaanza kuwa kubwa, jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea. Mtu mmoja ameumia kutokana na kuruka kutoka ghorofani