Polisi wamemkamata moza kwa kudaiwa kumdhalilisha
mtangazaji wa kituo TV1 ezden jumanne...uchunguzi ukikamilika ataburuzwa
mahakamani muda wowote...moza aliyekuwa mpenzi wa ezden na kuachwa alimrecord
video hiyo kipindi cha mahusiano yao...moza alikamatwa na kuwekwa mahabusu
oysterbay polisi....ezdee alisema mimi ni mtu ninayejiheshimu so kitendo
alichokifanya hakunitendea haki na amenidhalilisha...moza amedaiwa kufanya
hivyo baada ya kuachwa ili kumkomoa dida...mwisho wa
kunukuu.....INASEMEKANA
MOZA KAMUANGUKIA EZDEE KUMUOMBA SAMAHANI NA YAMEISHA SIJUI........MIMI BINAFSI
NASEMA HIVI HAKUNA ASIYEJUA MITANDAONI WASICHANA NDIO WANAONGOZA KWA
KUDHALILISHWA KWA KURECORDIWA AU KUPIGWA PICHA CHAFU...SIWEZI KULAUMU MOJA KWA
MOJA ZINAPOTOKEA PICHA CHAFU ZA MTU SABABU WENGINE WANARECORDIWA AU KUPIGWA
PICHA WAKIWA HAWANA TAARIFA KAMA HIVYO EZDEE HAKUWA NA HABARI SO MTU AKIPANIA
ANAKUFANYIA TU UBAYA....SASA IFIKE WAKATI WASICHANA MJITAMBUE USIKUBALI KUPIGWA
PICHA YA UTUPU HATA UKIGUNDUA UMEPIGWA BILA KUJIJUA KAMSHITAKI FASTA MUHUSIKA
AWE BADO MPENZIO AU MMEACHANA PELEKA POLISI FASTA MTU ANAYEKUPENDA HAWEZI
KUKUFANYIA HIVI....HATA KAMA MMEACHANA HANA HAKI YA KUKUDHALILISHA
HIVYO...MMEONA WANAUME WALIVYO NA MSIMAMO??....MKIWA WAOGA MTAENDELEA KUSHIKA
RECORD YA KUDHALILISHWA....