Saturday 21 March 2015

KAULI YA NGASA KUHUSU MAUMIVU YA MGUU ALIYOYAPATA KWENYE MGUU WAKE AKIELEKEA TANGA.



“Nilikuwa napanda basi juzi kwa safari ya kuja Tanga, mguu ukaanza kuuma. Maumivu yakazidi nikiwa kwenye basi. Tulipofika nikamuambia dokta. Ameanza kuhangaika nao tangu hapo, lakini wapi, hali bado tete,”alisema Ngassa jana usiku.

 “Nimejaribu kuweka barafu kupoza maumivu, lakini hali bado si nzuri na sijui tatizo ni nini,”amesema Ngassa