Saturday 20 June 2015

ROSE NDAUKO AFUNGUKA KUHUSU BIFU YA DIAMOND NA ALIKIBA



Tasnia kama Tasnia inahitaji Upendo,Heshima,Umakini,jitihada ili kufika tunapohitaji kufika....Dharau,Fitna, Majigambo, Majidai ya aina yoyote hayatatufikisha popote......Hivyo kama wasanii tunahitaji kushikana mikono kwa pamoja tufike tunapotaka kufika... i realy love Diamond Platnmuz Music and i dance to those rythms and beats.. 

Ali Kiba music makes me move smoothly with that Taste of music... Wote wanafanya good music...ila tukifanya hawa wawili .wagombane..we may find ourselves lacking the good music we got....... Hata kama wana tofauti tusifanye sisi kuwa the lenses..kukuza... Lets Embrace our Best Artist in the country ... 

Who knows wanaeza fika mbalii zaidi ya hapa walipo....support wote coz they are ours...same applies kwa beefs nyingine zooote za kisanaaa... Hizi Teams will gain ua nothing but cheap fame....Now whats the importance of Cheap Fame foe 15 minutes and shame for thw rest of yo life... 

Mahatma Gandhi once said "Be the Change You want to see.." All the Best Kiba on Your Ambassador gig umepata na Please Lets Vote For Diamond Platnmuz and Veemoney Acheni kutukana ugenini! Ni aibu... Disclaimer: No one was intended to be harmed with my posts