Saturday 20 June 2015

ARGENTINA YATINGA ROBO FAINALI COPA AMERICA KWA KUICHAPA JAMAICA 1-0


Argentina imetinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Copa America baada ya kuitungua Jamaica 1-0. Kwa ushindi huo, Argentina imeongoza kundi B Kwa kujikusanyia jumla ya pointi saba ikiwa ni faida ya ushindi wa mechi mbili na sare moja. Bao pekee la Argentina limefungwa na Gonzalo Higuain kunako dakika ya 11