Ajari ya malori mawili
yamegongana kwenye daraja la mto wami na kutumbukia mtoni! Kwa mujibu wa
Kamanda Mohammed Mpinga "...tukio
la ajali lilitokea asubuhi Wami likihusisha magari 4. Chanzo ni roli lenye
container ku-fail brake kuparaza Coaster na roli ikipishana nazo kabla ya Wami
darajani kuelekea Chalinze na kwenda kugonga kwa nyuma fuso iliyokuwa mbele
yake na zote kwenda kutumbukia mtoni."