Friday, 22 May 2015

PICHA: WEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA MUIGIZAJI WA KIKE ANAYE PENDWA

Msani wa filamu nchini ambaye pia ni miss tanzania mwaka 2006, Wema Sepata (Madam) ameshinda tuzo ya muigizaji wa kike anayependa katika tuzo za watu.