Friday, 15 May 2015

PICHA: ALICHOPOST DIAMOND PLATINUMS LEO AKI MKEJELI NEY WA MITEGO


Diamond PLatinumz amepost picha hiyo hapo chini na kuandika ujumbe unaofuata baada ya picha hiyo! Una maoni gani kuhusu hili?! Toa maoni yako mdau...


Hii ndio faida ya kung'ang'ania kuwa Mapenzi ni pesa..Mafundi wamepita Mke, haya Mpe wewe nyonyo sasa�� @naytrueboy ��������������������#MapenziAuPesa