Wasanii ambao wametajwa kuongoza kwa utajiri kwenye orodha ya wasanii
matajiri zaidi Nigeria P Square wamekamilisha kazi iliyowaleta pamoja na
Diamond Platnumz kutoka Tanzania, wimbo huu ni wa Diamond na postya P Square
imeonyesha wazi kuwa ni collabo waliyoombwa na mashabiki zao kwa muda sasa.