Baada ya Nahreel, Ben Pol kuingia mkataba na Pana Musiq wa usimamizi wa
kazi zao, Leo msanii aliyekuwa chini ya No Fake Zone ‘Linah Sanga’ ameingia
mkataba na Pana Musiq.
leo Lina ametufahamisha kupitia kurasa yake ya instagram kuwa ametia wino na kampuni hio itakayokuwa ikisimamia kazi zake.