Tuesday, 19 May 2015

AUDIO: CHEGE AMCHANA MAIMARTHAWAJESSE KWENYE WIMBO WAKE MPYA WA “MWANANYAMALA”

Msanii nyota kutoka TMK Family anayetamba na nyimbo yake mpya kwa sasa inayokwenda kwa jina la MWANANYAMALA #CHEGE CHIGUNDA inadaiwa kuwa ameamua kumtolea uvivu mwanamama #Maimarthawajesse, kwa kumchana live kwenye wimbo wake huo… sabubu ikiwa ni pale mwanamama huyo alipoposti picha ya chege akiwa kwenye shoo ikimuonesha msanii huyo amevaa HIRIZI…

Akizungumza na SoudBrown kupita U heard ya Clouds Fm Chege afunguka haya……….