Hivi karibuni jiji la Dar es salaam na mikoa mbalimbali ya Tanzania ilikumba
na mvua kubwa zilizosababisha uharibifu mkubwa wa miundo mbinu na hata makazi
ya watu.
Mvua hizo pia zilipelekea kuzorota kwa soko la Utengenezaji wa Video, Director
Hanscana athibitisha kuwa mvua zilimfanya afanye video hata kwa laki moja (100,000 TSH/=) kwa kuwa
hali ilikuwa ngumu… msikilize mwenyewe akifunguka kupitia #Trending Africa ya Times FM………..