Mwigulu Nchemba amejiuzulu
nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM ili kupisha agombee Urais na akishindwa
atarudia nafasi ikimpendeza M/kit.
Nafasi ya Naibu Katibu
Mkuu CCM iliyokuwa imashikiliwa na Mwigulu Nchemba imechukuliwa na ndugu Rajab
Luwavi.
Naibu Katibu Mkuu mpya wa
CCM Ndg. Rajab Luhavi alikuwa Msaidizi wa Rais katika Siasa.