Haijafahamika kama alikuwa
ametumia kilevi fulani kupita kiasi au ndio Amber Rose ameamua kumchana Kanye
West kama alivyofanya Kanye mapema mwaka huu kwa kusema “Alibidi aoge zaidi ya
mara 30 ili kuwa na Kim Kardashian baada ya kuwa na Amber” .
Amber Rose amedondosha
bumo kuhusu muziki wa Kanye West kwenye show ya Super Club mjini LA kwa kusema
mbele za watu kuwa Kanye West anaandikiwa muziki na Trvi$ Scott.
Amber alisema “Stop
playing n—-s I used to f–k. Stop. Stop. But wait, why don’t we play…hold
off…why don’t we play the n—a that writes the songs for the other n–a, Travis
Scott. Let’s go!