Kamanda Kova amewaonya
vikali wafuasi wa Gwajima kuandamana Leo kuelekea makao makuu ya polisi ambapo
mch. Gwajima Leo atahojiwa.
Onyo hilo linakuja baada ya mchungaji Gwajima kuwaambia wafuasi wake wakati wa ibada ya pasaka kumsindikiza makao makuu atakapoenda kuhojiwa.
My take;
Gwajima bora uwazuie wafuasi wako kwani watakula kichapo kikali Kova huwa hatanii waulize wanabawacha