Friday, 17 April 2015

Diamond: Lini Nitaonekana mkweli..!!

Hit maker wa “Nitamata wapi” Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ameamua kufunguka juu ya mapenzi hasa kwa wapenzi, je mwanamke anapoelezea makosa anayotendewa na mpenzi wake anaonekana kaonewa, mwanaume anaonekana…….. soma hapa alichoandika na kuposti platnumz kwenye akaunti yake ya Instagram