Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City
Kupitia kwenye kipindi
cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi
wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari
inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.