Makampuni mengi ya kimataifa yameanza kuamka na kutambua
kuwa ili kufikisha ujumbe wao kwa wanunuzi, ni bora kuwatumia mastaa wa ndani.
Hivi karibuni, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM,
Millard Ayo, wamepata shavu la kutangaza gari jipya la kampuni ya Mitsubishi
aina ya ASX.
Kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.