Mrembo na Staa wa Bongo Fleva, ambae nyota na jina lake
lilianza kusikika Kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS), Meninah La Diva
amesema angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa wawili wa Bongo Movies , Wema
Sepetu na Kajala Masanja ambao alisema kuwa anawependa sana.
Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji
Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo
angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna moja au
nyingine.
“Ningekuwa na uwezo ningewapatatinisha Wema na Kajala kwasababu wote nawapenda”-Meninah alijibu
Wema na Kajala walikuwa marafiki wa karibu lakini urafiki wao ulivunjika na kwasasa sio marafiki tena.
“Ningekuwa na uwezo ningewapatatinisha Wema na Kajala kwasababu wote nawapenda”-Meninah alijibu
Wema na Kajala walikuwa marafiki wa karibu lakini urafiki wao ulivunjika na kwasasa sio marafiki tena.