Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema
limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo
makubwa yakushtusha.....
Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:
Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:
"Daah,siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt,iko hivi:@nay,naomba
usisahau kama niwewe uliniambia nitafute boyfrnd..tena ulintukania hd mamang
marehem,nilikushukuru tu..nilikaa kimya kwa siku kadhaa but nilirudi tena
kukuomba msamaha..mamaako.mzazi anajua,dadaako tina anajua...unasema umenifumania,jaribu
kumuogopa mungu,we unakuja kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa
maziwa..leo unasema umekuta mi nasex kitandani..dahh ,ongea ukweli..nay mimi
ndio nilikua nakupenda,hukuwah onyesha mapenzi hata siku1 kwangu,nilikua
natetea penzi letu sanaaa..mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha
hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo ,wallah nilikupenda mungu
anaona mpaka nikamkana yule baba alikua ananipa kila kitu nikaamua kua
nawewe,sikuwah kuijua shida..naezasema ulinisamehe kinafiki caus tangia hapo
hadi najifungua sikua na raha..huu sio mwili wangu mimi,kila siku mamaako
alikua analia na mimi ,okey haijalishi umenifumania au nini caus tayari
ulishanitamkia umenchoka nay..
Namimi sio mjinga kusex sasahiv mwanangu akiwa
mdogo..nmebeba mimba miez9,nmezaa kwa uchungu..niwewe ndo ulisababisha mimi
nisimnyonyeshe mwanangu cz sikuaeza kupata maziwa kwasababu ya stress..leo
unatangaza umeninunulia gari,unanipa kila kitu..nay nini umenipa?gari nimali
yangu,where's ma lexus,verrosa?kweli hujawah kunipiga lakin ulikua
unaninyanyasa .mwanamke yyte ambae angekua mimi lazima angecheat tu,wewe
huyohyo unafanya enterview unaulizwa kuoa unasema huwez utashuka kimziki akati
mimi niko kwako na mtoto mdogo...na moyo gani?
Vingap umenfanyia?siwez ongea
kila kitu ila jua umenrudisha nyuma saaana tu.mamaako shahidi
wangu!!...unakumbuka ulikua unaniambia kila siku wewe unawatoto,nikwel
unao,wengi tu nawajua sio hawa watatu unaowasema..waseme wooote..
Sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako ,babake ni obasanjo.yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nnamengi tu,naumia sana sanaa!! ,pls nisiulizwe kitu tena wapenzi,nawapenda n thanx"
Sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako ,babake ni obasanjo.yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nnamengi tu,naumia sana sanaa!! ,pls nisiulizwe kitu tena wapenzi,nawapenda n thanx"