Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na staa wa Bongo
Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku katika uzinduzi rasmi wa gari
la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX akiwa kama balozi.
Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata
shavu la kutengeneza tangazo la gari hilo jipya ambapo kwenye
tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia
vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Katika Hatua Nyingine Mashabiki wake wamefurahishwa na Jinsi Wema Anavyojituma
kwa sasa kwenye Kazi mbalimbali Kwa kutumia Jina na Umaarufu wake kujiongezea
kipato tofauti na alivyokuwa na Diamond..
Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless Fame