Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na
hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye Tuzo za Kill Music Awards
2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi Mwegelo Kidoti alikiri
kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine wampigia kupitia Instagram na
kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz..
Kitendo cha Jokate Kutangaza Hadharani kuwa yeye alikuwa miongoni mwa waliompigia kura Ali Kiba kimedhihirisha kuwa sio kwamba hapendwi na Team Kiba tu bali hata wapenzi wake wa zamani hawapendi kuona Diamond Akiendelea Kisaniiii....